TIMU ya Ureno imefanikiwa kuingia Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Croatia Alfajiti ya leo Uwanja wa BMO Field Jijini Toronto nchini Canada.
Mabao ya Ureno yamefumgwa na washambuliaji, Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro wa Al-Nassr ya Saudi Arabia kwa penalti dakika ya 68 na Gonçalo Matias Ramos wa AC Milan dakika ya 90’+4, wakati bao pekee la Croatia limefungwa na winga wa PSV Eindhoven ya Uholanzi, Ivan Perisic dakika ya 53.



.png)
0 comments:
Post a Comment