• HABARI MPYA

    Friday, July 03, 2026

    OYARZABAL APIGA MBILI HISPANIA YAICHAPA AUSTRIA 3-0 KOMBE LA DUNIA

    HISPANIA imeitupa nje Austria kwa kuichapa ambao 3-0 katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Fainali za Kombe la Dunia usiku huu Uwanja wa SoFi Jijini Inglewood, Kaskazini Magharibi mwa Los Angeles, California nchini Marekani.

    Mabao ya Hispania yamefungwa na mshambuliaji wa Real Sociedad ya nyumbani, Mikel Oyarzabal Ugarte  mawili dakika ya 36 na 89 na beki wa kulia wa club Tottenham Hotspur ya England, Pedro Antonio Porro Sauceda dakika ya 66.

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: OYARZABAL APIGA MBILI HISPANIA YAICHAPA AUSTRIA 3-0 KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top