• HABARI MPYA

    Thursday, July 02, 2026

    MAREKANI YASHINDA 2-0 NA KUTINGA HATUA YA 16 BORA KOMBE LA DUNIA


    WENYEJI, Marekani wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bosnia & Herzegovina Alfajiri ya leo Uwanja wa Levi's, Santa Clara, California, Marekani.
    Mabao ya USA yamefungwa na mshambuliaji wa Monaco ya Ufaransa, Folarin Jerry Balogun mwenye asili ya Nigeria dakika ya 45 na kiungo Malik Leon Tillman wa Bayer Leverkusen ya Ujerumani anakotokea mama yake dakika ya 82.

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAREKANI YASHINDA 2-0 NA KUTINGA HATUA YA 16 BORA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top