Isco (kulia) akipongezana na Marcelo baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 63 akimalizia krosi ya Gareth Bale kufuatia kuingia akitokea benchi dakika ya 61 kuchukua nafasi ya Luca Modric katika sare ya 1-1 na wenyeji, Athletic Bilbao waliotangulia kwa bao la Muniain dakika ya 32 Uwanja wa San Mames Barria PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jimmy Kimmel Nails Trump With Damning Damage-Control Supercut Video
-
The late-night host said the president has had to do "a lot of tap-dancing"
after his comments about the pope.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment