• HABARI MPYA

  Sunday, September 16, 2018

  ARSENAL YAENDELEA KUNG'ARA, YAICHAPA NEWCASTLE 2-1

  Mesut Ozil (katikati) akifurahia na wenzake baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 58 ikishinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St James' Park. Bao la kwanza la Arsenal lilifungwa na Granit Xhaka dakika ya 49, wakati la Newcastle lilifungwa na Ciaran Clark dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAENDELEA KUNG'ARA, YAICHAPA NEWCASTLE 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top