// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 3-2 MECHI YA KIRAFIKI MBWENI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 3-2 MECHI YA KIRAFIKI MBWENI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, January 25, 2025

    AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 3-2 MECHI YA KIRAFIKI MBWENI


    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam.
    Mabao ya Azam FC yamefungwa na beki raia wa Mali, Yoro Mamadou Diaby mawili dakika ya pili na 31 na lingine mshambuliaji Msenegal, Alassane Diao dakika ya 79, wakati ya JKT Tanzania yamefungwa na Edward Songo dakika ya 48 na Abdurahman Bausi dakika ya 90’+6.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 3-2 MECHI YA KIRAFIKI MBWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top