TIMU ya England imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya kutoka nyuma na kuichapa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Macao 2-1 usiku huu Uwanja wa Mercedes-Benz Jijini Atlanta, Georgia nchini Marekani.
Winga wa kushoto wa UD Almería ya Hispania, Brian Kibambe Cipenga alianza kuifungia DRC dakika ya saba, kabla ya mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Edward Kane kuisawazidhia England dakika ya 75 na kufunga la pili dakika ya 86. 🙌
@fifaworldcup
#FIFAWorldCup


.png)
0 comments:
Post a Comment