MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Fabrice Ngoy ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Novemba 2025, huku kocha wake, Juma Ramadhani Mgunda akibeba Tuzo ya Kocha Bora.
Naye Said Mpuche ameshinda Tuzo ya Meneja Bora wa Uwanja kwa kazi yake nzuri Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni, Dar es Salaam.



.png)
0 comments:
Post a Comment