• HABARI MPYA

    Tuesday, December 30, 2025

    SARE TUPU MECHI ZA JANA KOMBE LA MAPINDUZI


    TIMU za Fufuni ya Pemba na Mwembe Makumbi City wa Unguja zimegawana pointi baada ya sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi 2026 jana Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
    Mchezo mwingine wa jana ulikuwa ni wa Kundi C ambao KVZ ilitoa sare ya kufungana bao 1-1 na TRA United ya Tabora Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
    Mboni Steven wa Fufuni FC alizawadiwa kiasi cha Shilingi Millioni 1 baada ya kuchaguliwa Mchezaji Bora wa dhidi ya Mwenbe Makumbi City. 
    Naye Michael Joseph wa KVZ alizawadiwa Sh. 500,000 baada ya kuchaguliwa Mchezaji Mwenye Nidhamu katika mchezo dhidi ya TRA United. 
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SARE TUPU MECHI ZA JANA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top