• HABARI MPYA

    Wednesday, December 03, 2025

    PAN AFRICANS KUANZ ANA BAGAMOYO SUGAR KOMBE LA CRDB

    RATIBA ya Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB imetoka na michuano hiyo inatarajiwa kuanza Desemba 18 hatua hiyo ya awali ikihusisha jumla ya timu 64 na mechi za ufunguzi zitakuwa kati ya vigogo Pan Africans ya Dar es Salaam na Bagamoyo Sugar Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani na Mapinduzi FC ya Mwanza dhidi ya Buhare FC ya Mara Uwanja wa Nyamagana, Mwanza.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PAN AFRICANS KUANZ ANA BAGAMOYO SUGAR KOMBE LA CRDB Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top