TIMU ya taifa ya Senegal imeanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Botswana katika mchezo wa Kund D leo Uwanja wa Tangier Grand mjini Tangier nchini Morocco.
Mabao ya Simba wa Teranga yamefungwa na washambuliaji, Nicolas Jackson wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Bayern Munich mawili dakika ya 40 na 58 na wa Pape Cherif Ndiaye wa Samsunspor dakika ya 90.



.png)
0 comments:
Post a Comment