BAO pekee la mshambuliaji Msweden, Viktor Gyokeres dakika ya 27 lilitosha kuipa Arsenal FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Hill Dickinson, Bramley-Moore Dock mjini Vauxhall, Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.
Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 39 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu ya England ikiizidi pointi mbili Manchester City City baada ya wote kucheza mechi 17, wakati Everton inabaki na pointi zake 24 za mechi 17 pia nafasi ya 10.



.png)
0 comments:
Post a Comment