TIMU ya Algeria imeanza vyema Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya ushindi wa mabao 3–0 dhidi ya Sudan katika mchezo wa Kundi E jioni ya leo Uwanja wa Moulay Hassan Jijini Rabat nchini Morocco.
Mabao ya The Greens yamefungwa na winga wa Al-Ahli ya Saudi Arabia, Riyad Karim Mahrez mawili, dakika ya pili na 61 na mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Ibrahim Maza dakika ya 85.



.png)
0 comments:
Post a Comment