MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam.
Kwa ushindi huo, Yanga SC wanafikisha pointi 13 katika mchezo wa tano na kusogea nafasi ya tatu, wakati Fountain Gate inabaki na pointi zake 10 za mechi 10 sasa nafasi ya saba.



.png)
0 comments:
Post a Comment