KOCHA Muargentina, Miguel Angel Gamondi ameita wachezaji 53 kuunda kikosi cha awali cha timu ya taifa ya taifa ya Tanzania kwa ajili ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani
Taifa Stars iliyofuzu chini ya makocha wazawa, Hemed Suleima Ali aliyekuwa anasaidiwa na Juma Mgunda na Jamhuri Kihwelo – imepangwa Kundi C pamoja na Nigeria, Tunisia na majirani Uganda.

.jpg)

.png)
0 comments:
Post a Comment