TIMU ya Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba Queens yamefungwa na mshambuliaji wa Kimataifa wa Kenya, Jentrix Shikangwa Milimu dakika ya 36 kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Aisha Juma Mnunka dakika ya 69.




.png)
0 comments:
Post a Comment