• HABARI MPYA

    Wednesday, December 31, 2025

    YANGA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO DAMARO WA SINGIDA BLACK STARS



    KLABU ya Yanga imemtambulisha kiungo Mguinea aliyebadili uraia na kuwa Mtanzania, Mohamed Damaro Camara (23) kuwa mchezaji wake mpya kwa sehemu iliyobaki ya msimu akijiunga na timu hiyo kutoka Singida Black Stars.
    Kiungo huyo wa ulinzi alijiunga na Singida Black Stars Julai mwaka jana akitokea Hafia FC ya kwao ambayo ilimuibua katika klabu ya Milo FC ya huko.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YAMTAMBULISHA KIUNGO DAMARO WA SINGIDA BLACK STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top