TIMU ya taifa ya Zambia imetoa sare ya bila mabao, 0–0 na Comoro katika mchezo wa Kundi A Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 usiku huu Uwanja wa Mohammed V Jijini Casablanca nchini Morocco.
Kwa matokeo hayo, Zambia wanafikisha pointi mbili kufuatia sare ya 1-1 na Mali katika mchezo wa kwanza, wakati Comoro imeokota pointi ya kwanza ikitoka kufungwa 2-0 na wenyeji, Morocco kwenye mchezo wa kwanza.



.png)
0 comments:
Post a Comment