BAO pekee la kiungo wa Kimataiifa wa Hungary, Dominik Szoboszlai dakika ya 88 kwa mkwaju wa penalty jana liliipa Liverpool ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Inter Milan katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan nchini Italia.
Kwa ushindi huo, Liverpool wanafikisha poingi 12 kusogea nafasi ya nane, sasa wakizidiwa tu wastani wa mabao na Inter Milan baada ya wote kucheza mechi sita.



.png)
0 comments:
Post a Comment