• HABARI MPYA

  Thursday, May 29, 2014

  YULE MCAMEROON ALIYEDAIWA ANA MIAKA 40, YATHIBITIKA KWELI ANA MIAKA 17

  KIUNGO wa Lazio, Joseph Minala ameruhusiwa kuendelea kuchezea timu ya vijana la klabu hiyo, baada ya kuthibitika hana umri wa miaka 42.
  Chama cha Soka Italia kiliamua kufanya uchunguzi baada ya toviti ya soka Afrika kudai kwamba mzaliwa huyo wa Cameroon, Minala alikuwa anadanganya ana umri wa miaka 17.
  Lakini FA ya Italia baada ya uchunguzi wake, imejiridhisha mchezaji huyo hajadanganya na umri na kumruhusu kuendelea kuchezea timu ya vijana ya Lazio.
  Kinda: Lazio imeruhusiwa kuendelea kumtumia Joseph Minala aliyedaiwa kukwepa umri wake halisi wa miaka 40 na kudai ana miaka 17
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YULE MCAMEROON ALIYEDAIWA ANA MIAKA 40, YATHIBITIKA KWELI ANA MIAKA 17 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top