• HABARI MPYA

  Saturday, May 31, 2014

  URUGUAY BILA SUAREZ YADUNGA MTU KIMOJA

  IKICHEZA bila mshambuliaji wake nyota, Luis Suarez ambaye ni majeruhi kwa sasa, Uruguay jana iliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ireland Kaskazini katika mchezo wa kujiandaa na Kombe la Dunia.
  Ushindi huo umetokana na bao pekee la Christian Stuani aliyetokea benchi ambaye aliwamalzia Ireland Kaskazini.
  Mchezaji huyo aliingia uwanjani kuchukua nafasi ya mkongwe, Diego Forlan aliyeongezwa kikosini baada ya kuumia kwa Suarez. 
  Tabasamu tupu: Stuani (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake wa Uruguay, Egidio Arevalo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: URUGUAY BILA SUAREZ YADUNGA MTU KIMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top