• HABARI MPYA

  Wednesday, May 28, 2014

  SPURS YAPATA KOCHA MPYA, NI MUARGNETINA MKALI WA KUIBUA VIPAJI

  KLABU ya Tottenham imemthibitisha Mauricio Pochettino kuwa kocha wake mpya Mkuu.
  Muargentina hyo alijiuzulu nafasi ya ukocha katika klabu ya Southampton, ambako aliwavutia wengi kwa kazi yake nzuri ikiwa ni pamoja na kuinua vipaji vya chipukizi wengi wa England.
  Pochettino amepewa Mkataba wa miaka mitano White Hart Lane na Mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy, kurithi mikoba ya Tim Sherwood aliyefukuzwa.
  Ofisi mpya: Mauricio Pochettino ndiye kocha mpya wa Tottenham Hotspur baada ya kusaini Mkataba wa miaka mitano
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAPATA KOCHA MPYA, NI MUARGNETINA MKALI WA KUIBUA VIPAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top