• HABARI MPYA

  Saturday, May 31, 2014

  DROGBA APIGA BAO LA BILA UBISHI IVORY IKILALA 2-1 KWA MABAO YA DZEKO

  MSHAMBULIAJI Edin Dzeko alifunga mabao timu yake ya taifa, Bosnia-Herzegovina ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ivory Coast usiku wa jana katika mechi za kujiandaa na Kombe la Dunia. 
  Bosnia ikicheza mechi ya pili ndani ya mezi sita mjini St Louis, ilicheza soka safi na kuwavutia mashabiki wake.  
  Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drgoba alitokea benchi kipindi cha pili na kuifungia Ivory Coast bao la kufutia machos dakika za majeruhi kwa mpira wa adhabu. 
  Safi sana: Edin Dzeko (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la pili Bosnia-Herzegovina katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Ivory Coast jana
  Still got it: Veteran striker Didier Drogba celebrates after scoring a late free-kick for the Ivory Coast
  Mwanaume: Mkongwe Didier Drogba akishangilia baada ya kuifungia Ivory Coast kwa mpira wa adhabu jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DROGBA APIGA BAO LA BILA UBISHI IVORY IKILALA 2-1 KWA MABAO YA DZEKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top