• HABARI MPYA

    Monday, May 26, 2014

    PAMOJA NA KUVULIWA UBINGWA ULAYA, BAYERN MUNICH BADO KLABU TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI

    PAMOJA na Bayern Munich kutolewa na Real Madrid katika Nusu Fainali ya Mabingwa Ulaya, lakini bado ndiyo klabu tajiri duniani.
    Real wakati fulani walikuwa klabu yenye thamani ya bishaa bora nambari moja duniani, lakini vigogo hao wa Hispania wameyumba baada ya mtikisiko wa kiuchumi iliyoikumba nchi yao.
    Real waliporomoka hadi nafasi ya tatu, lakini sasa mabingwa hao mara 10 Ulaya wamerejea nafasi ya pili katika.
    Bayern, vugogo wa Ujerumani wanashika mamba moja wakiwa na thamani ya utajiri wa Pauni Milioni 531.
    Bidhaa bora duniani: Bayern Munich bado wapo juu kwa maana ya bidhaa wakiwa na thamani ya Pauni Milioni 531.
    Crowd scene: Sergio Ramos shows off the trophy to fans at Puerta del Sol on the way to the Bernabeu
    Nyomi la kufa mtu: Sergio Ramos akiuonyesha Kombe la Ligi ya Mabingwa umati wa wapenzi wa timu hiyo eneo la Puerta del Sol wakiwa njiani kuelekea makao makuu ya klabu yao, Bernabeu
    Top ten: Manchester Unite have fallen to third in the Brand Finance table while Bayern Munich are on top
    10 Bora: Manchester Unite imeangukia nafasi ya taut katika msimamo wa timu zenye thamani kubwa duniani, wakati Bayern Munich inaongoza
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PAMOJA NA KUVULIWA UBINGWA ULAYA, BAYERN MUNICH BADO KLABU TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top