• HABARI MPYA

  Sunday, May 25, 2014

  REAL WAANGUSHA BONGE LA PATI BERNABEU, MASHABIKI WOTE WAALIKWA

  BAADA ya Real Madrid kubeba 'ndoo' ya 10 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mica inaangusha bongo la pati Uwanja wa wa Santiago Bernabeu mini Madrid ambalo linawashirikisha mashabiki.
  Real ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 hadi dakika ya 90 na ushei, lakini ikasawazisha na kwenda kupata mabao matatu ndani ya dakika 30 za nyongeza na kuilaza 4-1 Atletico Madrid hivyo kutwaa tajhi hilo Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno.
  Real imewaalika mashabiki wake Uwanja wa Bernabeu kushereheka muda huu.
  Kujirusha sasa: Real Madrid imewaalika mashabiki wake Bernabeu kusherehekea taji la Ligi ya Mabingwa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL WAANGUSHA BONGE LA PATI BERNABEU, MASHABIKI WOTE WAALIKWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top