• HABARI MPYA

  Sunday, May 25, 2014

  FERGUSON AMPA TUZO DI MARIA, AUZA MVINYO WAKE PAUNI MILIONI 2

  Na Juma Pinto, LISBON 
  KOCHA mstaafu, Sir Alex Ferguson jana alimkabidhi tuzo Angel Di Maria ya mchezaji bora wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya akiiwezesha Real Madrid kutwaa ubingwa kwa kuifunga Atletico Madrid mabao 4-1 Uwanja wa Luz mini hapa. 
  Gwiji huyo wa Manchester United alitoa mchango mkubwa katika ushindi huo, baada ya Cristiano Ronaldo na Gareth Bale kuzidiwa maarifa na mabeki wa Atletico Madrid.
  Tukio hilo lilifuatia saa kadhaa baada ya Ferguson kuuza mvinyo wake kwa Pauni Milioni 2 katika mnada jana.
  Nyota wa mchezo: Sir Alex Ferguson akimkabidhi Angel Di Maria tuzo ya mchezaji bora mechi baada ya mchezo janaOn the run: Di Maria was Real Madrid's standout performer in Lisbon
  Anateleza: Di Maria alikuwa bora zaidi ya mchezaji yeyote wa Real Madrid jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FERGUSON AMPA TUZO DI MARIA, AUZA MVINYO WAKE PAUNI MILIONI 2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top