• HABARI MPYA

  Sunday, May 25, 2014

  PATI LA UBINGWA REAL MADRID, WANAUME WABEBA MWALI WA 10 ULAYA RAHA TUPU

  Wanaume kweli: Nahodha wa Real Madrid, Iker Casillas akiwa ameinua Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuwafunga jirani zao, Atletico mabao 4-1 usiku huu Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno. Hilo linakuwa taji la 10 la michuano hiyo kwa Real.
  Gareth Bale of Real Madrid celebrates with the Champions League trophy
  Real Madrid's Gareth Bale celebrates with the trophy
  Mfungaji wa bao la pili la Real, Gareth Bale akiwa amebaba Kombe kichwani
  Uplifting: Ronaldo gets his hands on the trophy in Lisbon after Real's extra time victory
  Mfungaji wa bao la nne la Real, Cristiano Ronaldo akiwa ameinua Kombe
  Jumping for joy: Ramos joins in the party as Real Madrid bask in their glory in Lisbon
  Mfungaji wa bao la kusawazisha la Real, Sergio Ramos akiwarukia wenzake kushangilia ubingwa
  Landmark: Real Madrid's players celebrate their 10th European Cup triumph
  Kikosi kizima cha Real Madrid kikifurahia na Kombe
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PATI LA UBINGWA REAL MADRID, WANAUME WABEBA MWALI WA 10 ULAYA RAHA TUPU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top