• HABARI MPYA

  Thursday, May 29, 2014

  FABIANSKI ASAINI MIAKA MINNE SWANSEA

  KIPA wa kimataifa wa Poland, Lukasz Fabianski amesaini Mkataba wa miaka minne na Swansea baada ya kukubali kuondoka akimaliza Mkataba wake.
  Mlinda mango huyo mwenye umri wa miaka 29 atakuwa mchezaji rasmi wa Swansea Julai 1, wakati Mkataba wake utakapomalizika Emirates.
  Fabianksi, ambaye ameichezea mechi 21 nchi yake, anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Garry Monk tangu alipotajwa kuwa kocha wa kudumu wa klabu hiyo.
  Mtu mpya kazini: Lukasz Fabianski akiwa ameshika skafu ya Swansea baada ya kusaini Mkataba wa miaka minne na klabu hiyo ya Wales.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FABIANSKI ASAINI MIAKA MINNE SWANSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top