• HABARI MPYA

  Saturday, May 31, 2014

  MAYWEATHER ANAVYOZIDI KUWAFUNDISHA WATU MAISHA YA ANASA DUNIANI

  BONDIA Floyd Mayweather ameendelea kuonyesha jeuri ya fedha baada ya kutoa video inayomuonyesha akiwa kwenye boti yake kali ya kisasa yenye kibwawa cha kuogelea ndani yake mjini Miami. 
  Mkali huyo wa kurusha na kukweopa masumbwi, Mayweather aliiweka video hiyo katika akaunti yake ya Instagram juzi usiku.
  Video inamuonyesha Mayweather akiwa ametulia akila kinywaji katika boti yake binafsi. 
  Raha tupu: Bondia mtata, Floyd Mayweather akila maisha katika boti yake kali...upande wa nyuma kwenye kibwawa cha kuogelea
  Relaxing: Controversial boxer Floyd Mayweather relaxes in a hot tub... on the back of a yacht
  Off we go: A view of the city is seen in the distance of the boat
  Mayweather, mwenye umri wa miaka 37, bado hajapoteza bambino katika ngumi za kulipwa akiwa bingwa wa madaraha matano ya uzito tofauti duniani. 
  Hivi karibuni alidaiwa kuzinguana na rapa T.I katika mgahawa wa Fatburger mjini Las Vegas. 
  Bingwa huyo wa dunia mara name anatarajiwa kuopanda tena ulingoni Septemba, ambayo inaondoa uwezekano wa kupigana na Amir Khan ambaye hawezi kupigana mwezi huo kwa sababu ya mfungo wa Ramadhani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYWEATHER ANAVYOZIDI KUWAFUNDISHA WATU MAISHA YA ANASA DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top