• HABARI MPYA

  Saturday, May 24, 2014

  MGOMBEA SIMBA SC ATUA URENO KUCHEKI FAINALI LIGI YA MABINGWA

  Mgombea nafasi ya Ujumbe katika uchaguzi Mkuu wa Simba SC mwezi ujao, Juma Abbas Pinto kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) akiwa na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kimataifa wa Real Madrid, Rayco Garcia, Wakili wa makampuni ya TSN, Ngalo na Msemaji wa Kampuni hiyo, Dennis Ssebo mjini Lisbon, Ureno jana ambako wamekwenda kushuhudia Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa leo baina ya Real na Atletico Madrid. Kampuni ya TSN imeingia Mkataba na timu ya magwiji wa Real Madrid kufanya ziara nchini Agosti mwaka huu na msafara huo umekwenda huko kwa mwaliko wa klabu hiyo ya Hispania.
  Tayari wamekabidhiwa tiketi zao

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MGOMBEA SIMBA SC ATUA URENO KUCHEKI FAINALI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top