• HABARI MPYA

    Saturday, May 31, 2014

    MSIBA MWINGINE TASNIA YA FILAMU …GEORGE TYSON AFARIKI KWA AJALI YA GARI

    Na Saidy Mdoe, DAR ES SALAAM
    HUU ni msiba mwingine mkubwa, tene pengine ni msiba mkubwa zaidi. Producer, Director na mwandishi wa filamu pamoja na tamthilia, George Tyson (pichani chini) amefariki kwa ajali ya gari.
    Habari zilizoifikia Saluti5 zinasema Tyson alikuwa akitokea Dodoma kurejea Dar es Salaam na ndipo akapata ajali hiyo.
    Tyson ndiye mtu aliyeleta mapinduzi ya tahmthilia hapa nchini, lakini pia akafanya mageuzi katika filamu kwa kuitoa kwenye kuuza sura hadi kuwa biashara. Alishiriki katika kuandaa filamu ya Girlfriend iliyoleta mapinduzi makubwa. HABARI HII NI HAKI YA SALUTI 5.COM

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MSIBA MWINGINE TASNIA YA FILAMU …GEORGE TYSON AFARIKI KWA AJALI YA GARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top