• HABARI MPYA

    Wednesday, May 28, 2014

    STARS ILIVYOIKALISHA MALAWI JANA TAIFA

    Winga wa Tanzania, Taifa Stars akimtoka beki wa Malawi, Moses Chabvula kulia katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tanzania ilishinda 1-0.
    Winga wa Tanzania, Haroun Chanongo akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Malawi, Foster Namwera
    Kiungo wa Tanzania, Ramadhani Singano 'Messi' akipisha pesi pembeni ya beki wa Malawi, John Lanjesi
    Kiungo wa Tanzania, Khamis Mcha 'Vialli' kulia akichuana na beki wa Malawi, Limbikani Mzava
    Benchi la Ufundi la Malawi, kutoka kulia kocha Young Chimodzi, Wasaidizi wake, Jack Chamangwana na Philip Nyasulu
    Kocha wa Tanzania, Mholanzi Mart Nooij kushoto na Msaidizi wake, Salum Mayanga
    Mfungaji wa bao pekee jana, Amri Kiemba akikokota mpira
    Winga wa Tanzania, Simon Msuva akimtoka kiungo wa Malawi, Young Chimodzi Jr.
    Kiungo wa Tanzania, Kevin Friday akimtoka beki wa Malawi, Moses Chabvula
    Kikosi cha Stars jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: STARS ILIVYOIKALISHA MALAWI JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top