• HABARI MPYA

  Saturday, May 31, 2014

  TORRES AFUNGA HISPANIA IKIIUA 2-0 PASHA PASHA ZA KOMBE LA DUNIA

  MSHAMBULIAJI Fernando Torres jana amefunga bao Hispania ikishinda 2-0 dhidi ya Bolivia katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki kujiandaa na Kombe la Dunia.
  Mshambuliaji huyo wa Chelsea alifunga bao hilo kwa penalti  akimtungua kipa Romel Quininez dakika ya 51 na Andres Iniesta akafunga la pili dakika ya 81.
  Kikosi cha Hispania kilikuwa: Reina, Moreno, Azpilicueta, Pique/Albiol, dk46, Xavi/Busquets, dk61, Martinez, Cazorla/Silva, dk62, Iturraspe, Pedro/Deulofeu, dk80, Mata/Iniesta, dk46 na Torres/Fabregas, dk62.
  Bolivia: Quinonez, Bejarano, Raldes/Zenteno, dk90, Melean/Miranda, dk64, Eguino. Gutierrez, Chumacero/Da. Bejerano, dk64, Di. Bejarano, Mojica/Cardozo, dk72, Arce/Arze, dk72 na Moreno/Pena, dk82.

  Raha ya ushindi: Wachezaji wa Hispania wakimpongeza Fernando Torres baada ya kufunga jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TORRES AFUNGA HISPANIA IKIIUA 2-0 PASHA PASHA ZA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top