• HABARI MPYA

    Monday, May 26, 2014

    HAZARD NA OSCAR NAO KUTIMKIA PSG, CHELSEA YAMPOSA LAVEZZI, YATAKA PIA KUIPIGA BAO MAN CITY KWA MANGALA

    KLABU ya Chelsea inataka kumsajili mshambuliaji wa Paris St Germain, Ezequiel Lavezzi. 
    Klabu hiyo ya Ufaransa imemsajili David Luiz na inawataka pia Eden Hazard, Oscar na Petr Cech, wachezaji wengine wa Chelsea pia. 
    Tayari katika majadiliajo yao inafahamika Chelsea imeuliza bei ya kuuzwa kwa Muargentina Lavezzi ambaye ana nia ya kucheza michuano ya ushindani zaidi. 
    Atatinga uzi wa bluu? Namna ambavyo Lavezzi ataonekana katika jezi ya Chelsea, kama ambavyo anaonekana kwenye picha hii ya 'kubumba'
    Star man: Lavezzi scored against Chelsea when the sides met in the Champions League this season
    Nyota: Lavezzi alifunga dhidi ya Chelsea timu hizo zilipokutana katika Ligi ya Mabingwa msimu huu
      Hazard: Another Blanc target
      Oscar: Wanted by PSG
      Wanafuatia? Klabu hiyo ya Ufaransa inawataka pia Eden Hazard (kushoto) na Oscar (kulia) kutoka Chelsea
      Defensive target: Mourninho is hoping to pip Manchester city to Mangala after learning Varane was unavailable
      Nguzo ya ulinzi: Mourninho anataka kuwapiga bao Manchester City katika kuwania saini ya Mangala baada ya kugundua Varane hawawezi kumpata

      Chelsea inasaka mshambuliaji ya Samuel Eto'o kuingizwa katika orodha ya wachezaji wa kutemwa, na inafikiriwa wameelekeza nguvu zao kwa Lavezzi pamoja na mshambuliaji wa Atletico Madrid, Diego Costa.
      Jose Mourinho pia anamtaka mchezaji ambaye Manchester City pia wanamtaka, kiungo wa ulinzi Eliaquim Mangala wa Porto baada ya kugionga mamba kwa Raphael Varane wa Real Madrid.
      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Item Reviewed: HAZARD NA OSCAR NAO KUTIMKIA PSG, CHELSEA YAMPOSA LAVEZZI, YATAKA PIA KUIPIGA BAO MAN CITY KWA MANGALA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
      Scroll to Top