// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TABORA UNITED YAWACHAPA KMC 2-0 KAMA WAMESIMAMA MWENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TABORA UNITED YAWACHAPA KMC 2-0 KAMA WAMESIMAMA MWENGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 29, 2024

    TABORA UNITED YAWACHAPA KMC 2-0 KAMA WAMESIMAMA MWENGE


    TIMU ya Tabora United imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Dar es Salaam.
    Mabao ya Tabora United leo yamefungwa na viungo washambuliaji, Mburkinabe Yacouba Sogne dakika ya 43 na mzawa, Offen Francis Chikola dakika ya 56.
    Kwa ushindi huo, Tabora United wanafikisha pointi 21 na kusogea nafasi ya tano, wakati KMC inabaki na pointi zake 14 nafasi ya 10 baada ya wote kucheza mechin 13.   
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TABORA UNITED YAWACHAPA KMC 2-0 KAMA WAMESIMAMA MWENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top