// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 23, 2024

    FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 CHAMAZI


    BAO la mkwaju wa penalti la kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 56 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
    Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 24 katika mchezo wa 11 na kupanda nafasi ya pili ikiwazidi tu wastani wa mabao mabingwa watetezi, Yanga ambao pia wana mechi moja mkononi.
    Kwa upande wao Kagera Sugar baada ya kupoteza mchezo huo wanabaki na pointi zao nane za mechi 11 pia nafasi ya 14.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FEI TOTO AFUNGA PENALTI AZAM FC YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top