![]() |
| Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilichotoa sare ya 0-0 na Malawi jana Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya katika mchezo wa kirafiki. |
![]() |
| Mshambuliaji wa Taifa, John Bocco akimtoka beki wa Malawi |
![]() |
| Kiungo wa Stars, Frank Domayo akihojiwa na Waandishi wa Habari baada ya mechi jana |
![]() |
| Kiungo wa Stars, Amri Kiemba akijiandaa kupiga mpira mbele ya mchezaji wa Malawi |






.png)
0 comments:
Post a Comment