• HABARI MPYA

    Wednesday, May 07, 2014

    MWANAMKE WA KWANZA KUWA KOCHA WA KLABU YA LIGI KUBWA ULAYA

    KLABU ya Daraja la Pili Ufaransa, Clermont Foot imemuajiri mwanamama Helena Costa kuwa mocha wao mpya.
    Mama huyo mwenye umri wa miaka 39 atakuwa mocha wa kwanza wa kike kuongoza timu ya maharaja mawili ya juu katika Ligi za Ulaya.
    Costa kwa sass ni mocha wa timu ya taiga ya wan awake ya Iran ambaye awali alifundisha timu za wan awake za Qatar na Benfica. Pia amewahi kufanya kazi na mabingwa wa Scotland, Celtic.
    Mwanamama kazini: Helena Costa (kulia) ndiye mocha mpya wa Clermont Foot ya Daraja la Pili Ufaransa
    Groundbreaking: Current Iran boss Costa (left) will become the first female manager in a major European league
    Kocha wa Iran, Costa (kushoto) atakuwa mocha mpya wa timu ya ligi kubwa Ulaya
     

    Taarifa ya Clermont imesema: "Helena Costa ataifundisha Clermont Foot msimu ujao. Itaisaidia klabu kuingia katika zama mpya.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWANAMKE WA KWANZA KUWA KOCHA WA KLABU YA LIGI KUBWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top