Bado hapigiki: Floyd Mayweather akipambana na Marcos Maidana alfajiri ya kuamkia leo ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas Marekani katika pambano la uzito wa Welter. Mayweather alishinda kwa pointi, lakini alitolewa jasho na mpinzani wake huyo

Maidana akimtupia konde Mayweagther

Hii ni mieleka? Maidana akimchezea rafu Mayweather

Bado mali yake: Mayweather akisherehekea na mataji yake baada ya pambano



.png)
0 comments:
Post a Comment