Kimwana Gladys Shao, mshindi wa pili Miss Dar City Centre, ambaye anajiandaa na shindano la Miss Ilala, ukijumlisha na zile totoz za Dar Mzizima, Glory William, Hadija Muhecha, Nyamizi Lillian Mihayo, Pendo Lema na Irene Karugaba. Miss Ilala patakuwa hapatoshi 2009.
0 comments:
Post a Comment