• HABARI MPYA

    Thursday, May 08, 2014

    UBINGWA LA LIGA WAYEYUKA REAL MADRID

    MATUMAINI ya Real Madrid kutwaa taji la La liga usiku huh yameendelea kuingiwa kiza baada ya kulazimishwa safe ya kufungana boa 1-1 na Real Valladolid genii 
    lilikuwa ni boa la Humberto Osorio dakika ya 85 lililoipokonya tongue mdomoni timu ya Carlo Ancelotti, baada ya beki Sergio Ramos kufunga kwa staili ya mipira ya adhabu ya Cristiano Ronaldo kuipa Real Madrid bao la kuongoza dakika ya 35.
    Real sasa inatimiza pointi 84 baada ya kucheza mechi 36 na kubakia ya tatu nyuma ya Barcelona yenye pointi 85 za mechi 36, wakati Atletico Madird wanaendelea kula raha kileleni kwa pointi zao 88 za mechi 36 pia.

    Kisicho riziki: Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos akisherehekea boa lake la kuongoza aliloifungia Real Madrid katika safe ya 1-1 na Real Valladolid usiku huu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UBINGWA LA LIGA WAYEYUKA REAL MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top