Na Princess Asia, Dar es Salaam
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mart Nooij amewatema wachezaji watano na kubakia 27 kwa ajili ya mechi ya kwanza ya mchujo kuwania kuingia makundi ya kuwania tiketi ya Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2015 dhidi ya Zimbabwe Jumapili.
Habari ambazo BIN ZUBEIRY imezipata kutoka kambi ya timu hiyo mjini Mbeya, zimesema kwamba waliotemwa ni Hussein Javu, Emmanuel Namwando, Omari Nyenje, Hassan Mwasapili na Michael Pius.
Taifa Stars inatarajiwa kuondoka Mbeya kesho kurejea Dar es Salaam tayari kwa mchezo dhidi ya Zimbabwe utakaochezwa uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

![]() |
Hussein Javu kushoto ametemwa Stars |
Habari ambazo BIN ZUBEIRY imezipata kutoka kambi ya timu hiyo mjini Mbeya, zimesema kwamba waliotemwa ni Hussein Javu, Emmanuel Namwando, Omari Nyenje, Hassan Mwasapili na Michael Pius.
Taifa Stars inatarajiwa kuondoka Mbeya kesho kurejea Dar es Salaam tayari kwa mchezo dhidi ya Zimbabwe utakaochezwa uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment