• HABARI MPYA

    Saturday, June 13, 2026

    KVZ WATWAA UBINGWA LIGI KUU YA PBZ ZANZIBAR


    TIMU ya KVZ imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Kipanga Ijumaa ya Juni 12 Uwanja wa Mao Tze Tung A, Zanzibar.
    Kwa matokeo hayo, KVZ imemaliza na pointi 67, ikifuatiwa na JKU iliyomaliza na pointi 64 baada ya ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa mwisho Juni 12 pia Uwanja wa Gombani, Pemba.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KVZ WATWAA UBINGWA LIGI KUU YA PBZ ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top