• HABARI MPYA

    Sunday, February 15, 2026
    no image

    SINGIDA BLACK STARS YAMALIZA NA SARE AFRIKA KUSINI

    TIMU ya Singida Black Stars imetoa sare ya bila mabao na wenyeji, Stellenbosch katika mchezo wa mwisho wa Kundi C Kombe la Shirikisho Afrika...
    YANGA SC YAWACHAPA WAARABU 3-0, LAKINI NDIYO HIVYO!

    YANGA SC YAWACHAPA WAARABU 3-0, LAKINI NDIYO HIVYO!

    NDOTO za Yanga SC kwenda Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeyeyuka leo licha ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Kabylie katika mch...
    AZAM FC YACHAPWA 2-0 NA WYDAD CASABLANCA KOMBE LA SHIRIKISHO

    AZAM FC YACHAPWA 2-0 NA WYDAD CASABLANCA KOMBE LA SHIRIKISHO

    TIMU ya Azam FC imechapwa mabao 2-0 na wenyeji, Wydad AC katika mchezo wa mwisho wa Kundi B Kombe la Shirikisho Afrika jioni ya leo Uwanja w...
    Saturday, February 14, 2026
    SIMBA SC YAMALIZA KWA HESHIMA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA

    SIMBA SC YAMALIZA KWA HESHIMA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA

    TIMU ya Simba SC imehitimisha mechi zake za Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi Wa 1-0 dhidi ya  Stade Malien ya Mali usiku huu Uwan...
    TANZANIA YAITOA KENYA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20

    TANZANIA YAITOA KENYA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20

    TANZANIA imeitoa Kenya katika mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Dunia kwa Wanawake chini ya umri wa miaka 20 kufuzu Fainali za K...
    TANZANIA PRISONS YAICHAPA NAMUNGO FC 3-2 SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAICHAPA NAMUNGO FC 3-2 SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
    Friday, February 13, 2026
    MASHUJAA YAZINDUKA CHINI YA JULIO, YAICHAPA MTIBWA 3-1 DODOMA

    MASHUJAA YAZINDUKA CHINI YA JULIO, YAICHAPA MTIBWA 3-1 DODOMA

    IKIONGOZWA na Kocha mpya kwa mara ya kwanza, Jamhuri Kihwelo 'Julio' timu ya Mashujaa FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya M...
    JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 MBWENI

    JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA COASTAL UNION, 1-1 MBWENI

    TIMU ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uw...
    Thursday, February 12, 2026
    DODOMA JIJI YAICHAPA TRA UNITED 3-0 UWANJA WA JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA TRA UNITED 3-0 UWANJA WA JAMHURI

    TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja ...
    Wednesday, February 11, 2026
    SIMBA SC YARUDI NA MOTO LIGI KUU, YAILAMBA KMC 2-0 MWENGE

    SIMBA SC YARUDI NA MOTO LIGI KUU, YAILAMBA KMC 2-0 MWENGE

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja w...
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA FOUNTAIN GATE 1-0 CHAMAZI

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA FOUNTAIN GATE 1-0 CHAMAZI

    TIMU ya Singida Black Stars imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Fountain Gate FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya...
    TREZEGUET AONGOZA MBIO ZA UFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA

    TREZEGUET AONGOZA MBIO ZA UFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA

    MBIO za kuwania Kiatu cha Dhahabu katika Ligi ya Mabingwa ya Afrika zimeanza kuchukua sura nzuri baada ya kumalizika kwa mechi za tano, huku...
    KIBU DENIS KWAHERI SIMBA SC , AJIUNGA A AL NASR YA LIBYA

    KIBU DENIS KWAHERI SIMBA SC , AJIUNGA A AL NASR YA LIBYA

    KLABU ya Simba imemtakia kila la heri mshambuliaji wake, Kibu Denis Prosper ambaye anahamia Al Nasr SC ya Libya kwa mkataba wa mwaka mmoja n...
    Tuesday, February 10, 2026
    PAMBA JIJI YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 CCM KIRUMBA

    PAMBA JIJI YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 CCM KIRUMBA

    WENYEJI, Pamba Jiji FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    COASTAL UNION YAIBAMIZA TANZANIA PRISONS 4-1 PALE PALE SOKOINE

    COASTAL UNION YAIBAMIZA TANZANIA PRISONS 4-1 PALE PALE SOKOINE

    TIMU ya Coastal Union imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana huu U...
    Monday, February 09, 2026
    YANGA NA COSMO, SIMBA NA GREENLAND KOMBE LA CRDB

    YANGA NA COSMO, SIMBA NA GREENLAND KOMBE LA CRDB

    DROO ya Hatua ya Timu 64 Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB imefanyika leo Studio za Azam ...
    JKT TANZANIA YAWACHAPA MASHUJAA FC 1-0 MBWENI

    JKT TANZANIA YAWACHAPA MASHUJAA FC 1-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    Sunday, February 08, 2026
    DODOMA JIJI YAICHAPA KMC FC 2-1 UWANJA WA JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA KMC FC 2-1 UWANJA WA JAMHURI

    TIMU ya Dodoma Jiji imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC FC katika mchezo Wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa J...
    SINGIDA BLACK STARS YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA SHIRIKISHO

    SINGIDA BLACK STARS YAUMALIZA MWENDO KOMBE LA SHIRIKISHO

    MATUMAINI ya Singida Black Stars kwenda Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika yamezidi kufifia baada ya kuchapwa bao 1-0 na CR Belouizdad ...
    YANGA SC YACHAPWA 1-0 NA AS FAR RABAT NCHINI MOROCCO

    YANGA SC YACHAPWA 1-0 NA AS FAR RABAT NCHINI MOROCCO

    MATUMAINI ya Yanga SC kwenda Robo Fainali yameingia doa baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji, AS FAR Rabat katika mchezo wao wa Kundi B Ligi...
    Saturday, February 07, 2026
    SIMBA SC YATOA SARE UGENINI LIGI YA MABINGWA AFRIKA, 1-1 NA PETRO ANGOLA

    SIMBA SC YATOA SARE UGENINI LIGI YA MABINGWA AFRIKA, 1-1 NA PETRO ANGOLA

    TIMU ya Simba SC imetoa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Petro de Luanda katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa usiku huu Uwanja wa ...
    AZAM FC YAICHAPA AS MANIEMA 1-0 ZANZIBAR KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    AZAM FC YAICHAPA AS MANIEMA 1-0 ZANZIBAR KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

    TIMU ya Azam FC imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS M...
    MTIBWA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 1-1 DODOMA

    MTIBWA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO FC 1-1 DODOMA

    TIMU ya Mtibwa Sugar imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja w...
    MBEYA CITY YAICHAPA TRA UNITED 2-0 PALE PALE TABORA

    MBEYA CITY YAICHAPA TRA UNITED 2-0 PALE PALE TABORA

    TIMU ya Mbeya City imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo...
    Friday, February 06, 2026
    TANZANIA PRISONS YAAMBULIA SULUHU KWA MASHUJAA SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAAMBULIA SULUHU KWA MASHUJAA SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    PAMBA YAITANDIKA COASTAL UNION 3-0 CCM KIRUMBA

    PAMBA YAITANDIKA COASTAL UNION 3-0 CCM KIRUMBA

    TIMU ya Pamba Jiji FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana...
    Wednesday, February 04, 2026
    FOUNTAIN GATE YAAMBULIA SARE 1-1 NA NAMUNGO FC BABATI

    FOUNTAIN GATE YAAMBULIA SARE 1-1 NA NAMUNGO FC BABATI

    TIMU ya Fountain Gate imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
    Tuesday, February 03, 2026
    KMC FC YAICHAPA MASHUJAA 1-0 RUANGWA BAO LA SALIBOKO

    KMC FC YAICHAPA MASHUJAA 1-0 RUANGWA BAO LA SALIBOKO

    TIMU ya KMC FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku hui Uwanja wa Majali...
    MBEYA CITY YALAZIMISHWA SARE NA DODOMA JIJI 1-1 SOKOINE

    MBEYA CITY YALAZIMISHWA SARE NA DODOMA JIJI 1-1 SOKOINE

    WENYEJI, Mbeya City wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana wa leo ...
    Monday, February 02, 2026
    MTIBWA SUGAR YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1 DODOMA

    MTIBWA SUGAR YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1 DODOMA

    TIMU ya Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
    SIMBA SC YAOMBA JESHI LA POLISI LIWAKAMATE WALIOMFANYIA FUJO MANGUNGU

    SIMBA SC YAOMBA JESHI LA POLISI LIWAKAMATE WALIOMFANYIA FUJO MANGUNGU

    BODI ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba SC imeliomba Jeshi la Polisi Tanzania kuwachukulia hatua mashabiki waliomvamia Mwenyekiti wa klabu, Mu...
    Sunday, February 01, 2026
    COASTAL UNION YAAMBULIA SARE KWA TRA UNITED

    COASTAL UNION YAAMBULIA SARE KWA TRA UNITED

    WENYEJI, Coastal Union wamelazimishwa sars ya kufungana bao 1-1 na TRA United ya Tabora katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku...
    AZAM FC YAICHAPA TENA NAIROBI UNITED KOMBE LA CAF

    AZAM FC YAICHAPA TENA NAIROBI UNITED KOMBE LA CAF

    TIMU ya Azam FC imeweka hai matumaini ya kwenda Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Nairobi United ...
    SINGIDA BLACK STARS PUNGUFU YACHAPWA 2-1 KONGO

    SINGIDA BLACK STARS PUNGUFU YACHAPWA 2-1 KONGO

    WENYEJI, AS Otohô wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Kundi C Kombe la Shirikisho Afrika jioni y...
    SIMBA SC YAAMBULIA SARE, 2-2 NA ESPERANCE DAR

    SIMBA SC YAAMBULIA SARE, 2-2 NA ESPERANCE DAR

    WENYEJI, Simba SC wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Esperance ya Tunisia katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ...
    Saturday, January 31, 2026
    NAMUNGO FC YAICHAPA KMC 1-0 RUANGWA

    NAMUNGO FC YAICHAPA KMC 1-0 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Majal...
    YANGA SC YAAMBULIA SARE KWA AL AHLY, ZAFUNGANA 1-1 ZANZIBAR

    YANGA SC YAAMBULIA SARE KWA AL AHLY, ZAFUNGANA 1-1 ZANZIBAR

    TIMU ya Yanga SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo U...
    Friday, January 30, 2026
    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 PALE PALE ISAMUHYO

    DODOMA JIJI YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 PALE PALE ISAMUHYO

    TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa...
    MBEYA CITY YABANWA NYUMBANI, SARE 1-1 NA PAMBA JIJI

    MBEYA CITY YABANWA NYUMBANI, SARE 1-1 NA PAMBA JIJI

    WENYEJI, Mbeya City wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa S...
    Thursday, January 29, 2026
    AZAM FC YAICHAPA. TRA UNITED 2-0 CHAMAZI

    AZAM FC YAICHAPA. TRA UNITED 2-0 CHAMAZI

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam...
    AL AHLY YAMSIMAMISHA EMAM ASHOUR WIKI MBILI NA KUMPIGA ‘FAINI NZITO’

    AL AHLY YAMSIMAMISHA EMAM ASHOUR WIKI MBILI NA KUMPIGA ‘FAINI NZITO’

    KLABU ya Al Ahly imemsimamisha winga wake hatari, Emam Ashour Metwally Abdelghany kwa wiki mbili na kumtoza Faini ya Pauni za Uingereza Mili...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top