// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JAPAN YATAJA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA, SHINJI KAGAWA NDANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JAPAN YATAJA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA, SHINJI KAGAWA NDANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, May 12, 2014

    JAPAN YATAJA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA, SHINJI KAGAWA NDANI

    KOCHA wa Japan, Alberto Zaccheroni ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakachokwenda kwenye Fainali za Kombe la dunia nchini Brazil akiwemo kiungo wa Manchester United, Shinji Kagawa na Keisuke Honda wa AC Milan wakiwa sehemu ya wachezaji 12 wanaocheza Ulaya.

    Kazini: Nyota wa Manchester United, Shinji Kagawa (kushoto), akipambana na David Meyler, ameitwa kikosi cha Japan Kombe la Dunia

    Japan, ambayo iliandaa kwa pamoja na Korea Kusini Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2002, inakwenda kushiriki fainali za tank mfululizo za michuano hiyo ikiwa imepangwa katika Kundi C pamoja na Ivory Coast, Ugiriki na Colombia 

    KIKOSI KAMILI HIKI HAPA;

    Makipa: Eiji Kawashima (Standard Liege), Shusaku Nishikawa (Urawa Reds), Shuichi Gonda (FC Tokyo) 
    Mabeki: Masahiko Inoha (Jubilo Iwata), Yasuyuki Konno (Gamba Osaka), Yuto Nagatomo (Inter Milan), Masato Morishige (FC Tokyo), Atsuto Uchida (Schalke), Maya Yoshida (Southampton), Hiroki Sakai (Hannover), Gotoku Sakai (Stuttgart) 
    Midfielders: Yasuhito Endo (Gamba Osaka), Makoto Hasebe (Nuremberg), Toshihiro Aoyama (Sanfrecce Hiroshima), Hotaru Yamaguchi (Cerezo Osaka) 
    Washambuliaji: Keisuke Honda (AC Milan), Yoshito Okubo (Kawasaki Frontale), Shinji Okazaki (Mainz), Shinji Kagawa (Manchester United), Hiroshi Kiyotake (Nuremberg), Yoichiro Kakitani (Cerezo Osaka), Manabu Saito (Yokohama F Marinos), Yuya Osako (1860 Munich)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JAPAN YATAJA KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA, SHINJI KAGAWA NDANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top