VIGOGO wa Misri, Al Ahly wameanza vyema hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuilaza mabao 2-0 Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa Kundi B uliopigwa Uwanja wa Petrosport mjini Cairo.
Mabao ya kipindi cha pili ya Ahmed Gamal na Mohamed Gedo yalitosha kuwapandisha kileleni mwa kundi hilo mabingwa mara nane Afrika, kabla ya mechi ya pili ya kundi hilo Jumapili mjini Abidjan baina ya wenyeji Sewe Sport na Etoile du Sahel ya Tunisia.

0 comments:
Post a Comment