NYOTA wa Manchester City, Stevan Jovetic amehakikisha wadhamini wake wanaonekana vizuri baada ya kuvua nguo zone na kubaki na chupi, timu take ikishinda 4-0 dhidi ya Aston Villa jana.
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Montenegro aliifungia timu take boa la tatu jana Uwanja wa Etihad na katika kushangilia akasaala na kubaki na chupi akikimbia kuelekea walipo mashabiki.
Hilo lilikuwa boa la saba la mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 msimu huu - na la kwanza kwa zaidi ya mwezi, ingawa refa Michael Oliver alimlima kadi ya njano.
0 comments:
Post a Comment