// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DE GEA ATAMBA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MWAKA MAN UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DE GEA ATAMBA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MWAKA MAN UNITED - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, May 09, 2014

    DE GEA ATAMBA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MWAKA MAN UNITED

    KIPA David de Gea ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Manchester United kutoka kwa wachezaji wenzake na mashabiki katika sherehe zilizofanyika usiku wa jana.
    Kipa huyo wa kimataifa wa Hispania alipokea tuzo hizo mbili, moja ya Sir Matt Busby mchezaji bora wa mwaka, inayopigiwa kura na mashabiki na ya wachezaji, Mchezaji Bora wa Wachezaji wa Mwaka baada ya kufanya kazi nzuri msimu huu.
    De Gea alishinda tuzo ya mashabiki baada ya kupata asilimia 54 ya kura, akiwashinda Wayne Rooney na Adnan Januzaj walioshika nafasi ya pili na ya tatu.
    Mshindi mkuu: David de Gea (katikati) akipokea tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka ya Sir Matt Busby Player kutoka kwa kocha wa muda, Ryan Giggs (kulia) na Steven Cross kushoto
    Check this out: De Gea is presented with the Players' Player of the Year award by Juan Mata (right)
    Nyingine hiyo: De Gea akipokea tuzo ya Mchezaji Bora wa Wachezaji kutoka kwa Juan Mata (kulia)
    Lady in red: Manchester United goalkeeper David de Gea with pop-star girlfriend Edurne Garcia
    Lady in red: Manchester United goalkeeper David de Gea with pop-star girlfriend Edurne Garcia
    Mwanamama katika uzi mwekundu: Kipa wa Manchester United, David de Gea akiwa mpenzi wake, Edurne Garcia
    Legends: Ryan Giggs (right) is presented with the Lifetime Achievement award by Sir Bobby Charlton
    Gwiji: Ryan Giggs (kulia) akikabidhiwa tuzo ya mafanikio ya muda mrefu na gwiji wa klabu Sir Bobby Charlton
    Recognition: Wayne Rooney is presented with the Goal of the Season award by Brian McClair
    Mkali wa mabao: Wayne Rooney akikabidhiwa tuzo ya Bao bora la msimu na Brian McClair
    Super strike: Rooney's strike against West Ham in March was named United's goal of the season
    Bao lenyewe: Rooney alifunga bao hilo katika mechi na West Ham mwezi Machi
    Up and coming: James Wilson (right) is presented with the Jimmy Murphy Young Player of the Year award
    Anayeibukia: James Wilson (kulia) akikabdhiwa na Jimmy Murphy tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka
    Silverware: Saidy Janko is interviewed by Hayley McQueen after winning reserve player of the year
    Na huyu pia: Saidy Janko akifanyiwa mahojiano na Hayley McQueen baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa akiba wa mwaka

    De Gea alisema: "Nataka kuwashukuru mashabiki. Tangu siku yangu ya kwanza kabisa katika klabu, nilihisi wananipenda na nina furaha kabisa. Kwao, tutajaribu msimu ujao kufanya vizuri tena,"alisema'.

    WASHINDI WA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MANCHESTER UNITED MSIMU WA 2013/2014

    Tuzo ya Sir Matt Busby (Mchezaji Bora wa Mwaka) - David de Gea
    Mchezaji Bora wa Mwaka- David de Gea
    Bao bora la msimu - Wayne Rooney vs West Ham United Machi 22, 2014
    Denzil Haroun Reserve Team Player of the Year - Saidy Janko
    Tuzo ya Jimmy Murphy Mchezaji Bora wa Akademi wa mwaka - James Wilson
    Tuzo ya Mafanikio ya Muda mrefu- Ryan Giggs
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DE GEA ATAMBA TUZO ZA WACHEZAJI BORA WA MWAKA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top