• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 19, 2011

  ANAKWENDA SHEKHAN, GOOOOOOO…


  Kipa wa Yanga Veterans, Manyika Peter akichupa bila mafanikio kuokoa shuti la mpira wa adhabu uliopigwa na kiungo wa Simba Veterans, Shekhan Rashid (hayupo pichani) katika mechi ya jana baina ya wakongwe hao, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0. Mechi hiyo ilikuwa ya kuchangia waathirika wa milipuko ya mabomu Gongolamboto
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ANAKWENDA SHEKHAN, GOOOOOOO… Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top