• HABARI MPYA

    Saturday, May 30, 2009

    MISS DAR MZIZIMA JUNI 6 AFRI CENTRE



    WASHIRIKI wa shindano la Miss Dar es Salaam wakiwa kwenye kikao na Kamati ya Miss Tanzania hivi karibuni, shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 6, mwaka huu katika ukumbi wa Afri Centre.

    Burudani itaongozwa na bendi ya Diamond Musica, wasanii wa Bongo Fleva Barnabas, Buibui na Pipi. Jamani msikose hili tukio, limebebwa vimwana bomba mpaka basi.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MISS DAR MZIZIMA JUNI 6 AFRI CENTRE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top